1 Billion Rising Events

Tuamke Dar

Tanzania > Dar es Salaam > Q-Bar & Guest House, 1 Haile Selassie Road > 2014-02-14 > 06:00 pm

About The Event

There will be dancing and music, and we invite our sisters and brothers to join us in rising up against violence towards women. Community members, especially men, will be encouraged to become active bystanders against GBV and embrace positive masculinity. Take a pledge of non-violence, light a candle for survivors, draw what 'justice' means to you, and dance your heart out to show the world the violence must stop! Tuamke pamoja. --------------------------------------------- Tarehe 14, Februari, 2014, saa 12 jioni, Dar es Salaam itajiunga na wanaharakati duniani kote kwa ajili ya One Billion Rising, harakati za wahamasishaji kimataifa kukomesha ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. One Billion Rising ilianza kama wito wa kuchukua hatua kutokana na takwimu ya kushtua kwamba mwanamke 1 kati ya 3 duniani atapigwa au kubakwa wakati wa uhai wake. Kwa kuwa idadi ya watu duniani imefikia bilioni 7, hii inamaanisha zaidi ya wanawake na wasichana bilioni moja. Kutakuwa na muziki na kucheza, hivyo tunawaalika wake kwa waume kuja kujumuika nasi na kuamka na kuinuka pamoja kukemea ukatili dhidi ya wanawake. Ili kufahamu zaidi kuhusu One Billion Rising, tuma barua pepe katika [email protected].

About The Organizer

Jenny Tiberio, Esther Majani, Comfort Mosha, Nancy Sumari, Ken Kabiru

Contact us at [email protected] !
Tuandikie kwenye [email protected] !

Upload a photo taken at this event

Open in Google Maps